Back to home

Ugonjwa wa Bilhazia

video
June 30, 2025
about 15 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Kwa muda mrefu ugonjwa wa Bilhazia umekuwa ukipuziliwa mbali katika maeneo tofauti nchini hali ambayo huenda ukachangia matatizo ya uzazi miongoni mwa waathiriwa endapo hautapewa uzito unaotashili na kutatuliwa kwa wakati unaofaa..

Ugonjwa wa Bilhazia (Video)