Back to homeWatch Original
Bunge la Seneti Kusikiliza Kesi ya Gavana Abdi Guyo Kuanzia Julai 8 hadi 10
video
June 30, 2025
10 days ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
About this video
Kesi ya kuondolewa madarakani kwa Gavana wa Isiolo Abdi Guyo itasikilizwa na Bunge lote la Seneti. Kesi hiyo itaanza kusikilizwa Seneti tarehe 8, 9 na 10 Julai 2025. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions..