Vijana washauriwa kufanya maandamano ya amani
About this video
Viongozi wa kisiasa na wale wa kidini katika kaunti ya Busia wamewakemea baadhi ya vigogo wa kisiasa wanaowachochea vijana kufanya maandamano na kutekeleza uharibifu wa mali kwa nia potovu ya kusambaratisha taifa kwa maslahi ya kibinafsi..