Wakenya Marekani wakosoa rais
About this video
Baadhi ya wakenya wanaoishi nchini Marekani jimbo la Washington wamejitokeza kuomboleza vifo vya vijana waliouawa kutokana na maandamano dhidi ya serikali. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates..