Back to homeWatch Original
Polisi wanamzuilia mwanachama wa DCP baada ya kukamatwa huko Limuru
video
July 1, 2025
about 14 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Haya yalipokuwa yakijiri mahakamani, afisa mmoja wa chama cha DCP Peter Kinyanjui aliyekuwa amedaiwa kutekwa nyara ataendelea kuzuiliwa katika kituo cha Ruiku kaunti ya Kiambu. Familia ya Kinyanjui hapo jana ilidai kuwa watu walioaminika kuwa maafisa wa upelelezi walimchukua kuto..