Wakulima wa kahawa Kirinyaga wadinda kuuza mazao
About this video
Wakulima wa kahawa kutoka kaunti ya Kirinyaga sasa wamesema hawatouza mazao yao katika soko kuu, hadi pale serikali itasitisha mfumo mpya wa malipo. Wakulima kutoka maeneo ya Karithathi na Rung’eto walisema kuwa mfumo huo wa malipo ulioidhinishwa mwaka jana unakandamiza vyama v..