Back to home

Zaidi ya wanafunzi elfu 194 wapata nafasi vyuoni

video
July 1, 2025
about 15 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Asilimia 83 ya wanafunzi waliofuzu kujiunga na elimu ya juu wenye mtihani wa mwaka jana wa KCSE wamepata nafasi kwenye vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu. Waziri wa Elimu Julius Ogamba akisema kuwa, wanafunzi 194,000 kati ya 244,000 waliopata fursa kuingia vyuo vikuu na taasis..