Back to homeWatch Original
Viongozi wa upinzani washinikiza Murkomen ajiuzulu
video
July 1, 2025
about 15 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Viongozi wa upinzani wameendelea kuikashifu serikali kwa namna ilivyokabiliana na waandamanaji wakati wa maandamano ya Gen Z. Wakiongozwa na kinara wa Wiper, Kalonzo Musyoka, aliyetembelea familia ya Boniface Kariuki katika eneo la Githurai, viongozi hao wameendelea kumshinikiza ..