Back to homeWatch Original
Hali ya uwanja wa Bukhungu yaleta tumbo joto kwa waandalizi wa michezo ya sekondari Afrika Mashariki
video
July 1, 2025
about 14 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Michezo ya shule za sekondari za Afrika Mashariki huenda ikalazimishwa kutafuta ukumbi mpya ikiwa uwanja wa Bukhungu huko Kakamega hautakamilika mwezi mmoja ujao. Shirikisho la michezo ya shule za sekondari za Afrika Mashariki limeelezea kusikitishwa kwao na hali ya uwanja kwa sa..