Back to home

Bajeti ya kaunti ya Tharaka Nithi imepitishwa

video
July 2, 2025
about 18 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Baada ya wiki kadhaa za mvutano mkali kati ya Gavana wa Tharaka Nithi, Muthomi Njuki, na baadhi ya Wajumbe wa Bunge la Kaunti (MCAs) kuhusu bajeti ya mwaka wa fedha wa 2025/2026, hatimaye kaunti imepata uungwaji mkono wa kutosha kupitisha bajeti hiyo..