Back to home

Wakazi wkosa vitambulisho, vyeti vya kuzaliwa na korti

video
July 2, 2025
about 19 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Wakazi wa kisiwa cha pate eneo Bunge la Lamu mashariki kaunti ya Lamu hulazimika kusafiri kwa zaidi ya saa sita kwa boti ili kusaka huduma za vitambulisho, huduma za watoto, huduma za mahakama miongoni mwa huduma zengine za serikali katika kisiwa cha amu Lamu Magharibi ...