Back to home

Familia ya Albert Ojwang' inazidi kulilia haki

video
July 2, 2025
23 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Familia ya Mwanablogu aliyeuawa seli ya polisi jijini Nairobi Albert Ojwang' imeendelea kudai haki kutoka kwa serikali kuhusu mauaji yake, ikitaka majibu ya lengo kuu haswa la kukamatwa kwake na kisha kuuawa. Kwenye ibada ya mazishi iliyoandaliwa katika kanisa la Ridgeways Baptis..