Timu za voliboli ya walemavu zajiandaa kwa mchuano wa Afrika, Kasarani
About this video
Timu za Kenya za mchezo wa voliboli ya walemavu zimeendeleza na maandalizi yao tayari kwa mchuano wa Afrika utakaoanza rasmi ijumaa uwanjani Kasarani hapa Nairobi. Kulingana na wasimamizi, zaidi ya mataifa kumi yatakayoshiriki yalitarajiwa kuwasili leo huku Kenya ikilenga tiketi ..