Back to homeWatch Original
Kijana Brian Ndung'u Wanjiru alipigwa risasi
video
July 3, 2025
about 11 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Ripoti ya uchunguzi wa mwili wa Brian Ndung'u Wanjiru, kijana wa miaka 17 ambaye alipigwa risasi wiki iliyopita wakati wa maandamano katika eneo la Olkalou kaunti ya Nyandarua imebainisha kuwa alifariki kutokana na majeraha ya risasi..