Back to homeWatch Original
Ndiang'ui alikuwa ameripotiwa kutoweka
video
July 3, 2025
about 13 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Mwanablogu Ndiangui Kanyagia, aliyeripotiwa kupotea kwa jumla ya siku 13 alifika mahakamani, dakika chache kabla ya kesi ya kumtaka mkurugenzi wa DCI Mohammed Amin kueleza mahakama aliko kanyagia...