Back to home

Viongozi wa upinzani waanza ziara ya kisiasa ya siku mbili Magharibi

video
July 3, 2025
about 17 hours ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Viongozi wa upinzani wakiongozwa na Kalonzo Musyoka, Fred Matiangi'i na aliyekuwa Naibu wa Rais Rigathi Gachagua wameanza ziara rasmi ya siku mbili ya kuuza sera zao za kisiasa hii leo katika kanda ya Magharibi. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and..