Back to home

Ngamia 650 kati ya ngamia 660 walioibiwa wapatikana

video
July 4, 2025
about 8 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Maafisa wa Kitengo cha Kupambana na wizi wa Mifugo pamoja na maafisa wa akiba wamefanikiwa kurejesha ngamia 650 kati ya ngamia 660 walioibwa kwenye uvamizi katika eneo la Burat, kaunti ya Isiolo...