Back to home

Upinzani watua Busia wakidai jamii ya Magharibi imetumiwa na Raila

video
July 4, 2025
about 6 hours ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Upinzani umeendelea kujipigia debe eneo la Magharibi mwa Kenya leo wakitinga eneo la Busia. Viongozi hao wamesema kinara wa ODM Raila Odinga ametumia jamii hiyo na ni wakati wakujipanga. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Keny..