Back to homeWatch Original
Viongozi wa upinzani wavamiwa eneo la Chwele katika ziara ya Maghaibi
video
July 4, 2025
16 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Msafara wa Viongozi wa Upinzani ulishambuliwa na wahuni ambao walirusha mawe na kuharibu magari ya wanasiasa hao katika eneo la chwele Kaunti ya Bungoma katika siku ya pili ya ziara yao magharibi mwa nchi. Vijana walionekana kutupa mawe na kuharibu magari ya viongozi wakiwemo Kal..