Uchunguzi wafanywa kuhusu kuchomwa kwa kituo cha polisi cha Mawego
About this video
Idara ya polisi inafanya tathmini kuhusu tukio la Alhamisi ambapo kituo cha polisi cha mawego huko homa bay kiliteketezwa. Afisa mmoja wa ngazi ya juu ya idara hiyo ameiambia runinga ya Citizen kuwa uamuzi wa kujenga upya kituo hicho utafanywa kwa mashauriano na wakazi wa eneo hi..