Back to homeWatch Original
Albert Ojwang azikwa nyumbani kwao Homa Bay
video
July 4, 2025
15 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Viongozi kutoka Nyanza wamekemea wahuni ambao wamehusika katika kuvuruga maandamano ya amani ya kizazi cha Gen Z hapa nchini. Wakizungumza huko Homa Bay wakati wa mazishi ya mwalimu na Mwanablogu Albert Ojwan'g, viongozi hao wamewataka Gen Z kutokubali ajenda yao kuingiliwa na wa..