Back to homeWatch Original
Vimbwanga: Ichung’wah asinywa na kelele za macuzo, Karua amtahadharisha Ruto, Murkomen ajitetea
video
July 4, 2025
about 7 hours ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
About this video
Leo ni leo Kimani Ichungwa anasinywa na kelele za macuzo zinazoendelezwa na Riggy G. Waziri Murkomen yuasema hakusema kitu kuhusu risasi na Martha Karua yuamwonya ruto kuwa anaweza kuwa mtu wa no term. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday ..