Naibu rais Kithure Kindiki aongoza msafara wa Kenya Kwanza huko Kilifi
About this video
Naibu Rais Kithure Kindiki amempigia debe Rais William Ruto kuhudumu kwa mihula yote miwili akisema serikali ya Kenya Kwanza inalenga kutimiza manifesto yake badala ya kujihusisha na siasa potovu. Akizungumza katika kaunti ya kilifi kwenye hafla za kupiga jeki makundi ya kina mam..