Back to home

Watunishaji misuli 120 kushiriki Bwana na Bi Magharibi kesho Kisumu

video
July 4, 2025
about 5 hours ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Zaidi ya Watunishaji misuli 120 wanatarajiwa kushiriki mashindano ya mwaka huu ya Bwana na Bi Magharibi ambayo yatafanyika hapo kesho katika ukumbi wa Fitness Summit Gym katika kaunti ya Kisumu. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told..