Back to home

Viongozi wa upinzani wakashifu hatua ya rais kujenga kanisa katika ikulu

video
July 5, 2025
12 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Viongozi wa upinzani wameshtumu vikali hatua ya Rais William Ruto ya kujenga kanisa la kifahari katika Ikulu ya Nairobi. Wakizungumza huko Mathira, kaunti ya Nyeri katika hafla ya mazishi, viongozi hao wamesema hatua ya Rais ya kujenga kanisa ni ukiukaji wa sheria. CHRISPINE OTIE..