Back to homeWatch Original
Wafanyabiashara walioathiriwa na maandamano waanzisha kampeni za michango
video
July 5, 2025
about 10 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Wafanyabiashara waliopoteza mali yao katika maandamano ya wiki jana wanahangaika kujenga upya maisha na biashara zao. Wengi walipata hasara kubwa baada ya wahuni kutumia maandamano hayo kupora maduka. Bidhaa za thamani ya mamilioni ya pesa ziliharibiwa katika machafuko hayo. Kati..