Back to homeWatch Original
Kiu Ya Elimu: Mvulana wa gredi ya 5 asomea chini ya taa ya mlingoti Turkana
video
July 5, 2025
7 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Huku ukosefu wa umeme ukizidi kutatiza masomo katika kaunti ya Turkana, Mvulana mmoja wa gredi ya tano aligonga vichw avya habari kwa kunaswa kwenye video akisomea chini ya mlingoti wa umeme sokoni. Kijana huyo amekuwa akitembea kilomita mbili kisa siku usiku hadi kwenye mlingoti..