Back to home

Watangazaji wa Radio Citizen wajumuika na waumini wa kanisa la Jetview SDA

video
July 5, 2025
6 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Katika juhudi za kushirikiana najamii, Kikosi cha Radio Citizen kilijumuika na waumini katika Kanisa la Jetview SDA mtaani Utawala, jijini Nairobi ambapo watangazaji walitoa shukrani zao kwa mashabiki wa stesheni hiyo ya redio inayomilikiwa na kampuni ya Royal media services. Ai..