Back to homeWatch Original
Rais Ruto asema gharama ya kujenga kanisa katika ikulu haizidi shilingi milioni 300
video
July 6, 2025
about 9 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Rais Atetea Kanisa Ikulu Amesema Gharama Ya Kujenga Kanisa Haizidi Ksh 300m Taarifa Za Awali Ziliashiria Inajengwa Kwa Bilioni 1 Ameendelea Kutetea Sababu Za Ujenzi Kuimarishwa Amezungumza Kwenye Ibada Jumapili Kaunti Ya Embu..