Serikali ya kaunti ya Kilifi imeanzisha ujenzi wa barabara za mjini
About this video
Serikali ya kaunti ya Kilifi imeanzisha ujenzi kadhaa wa barabara ambazo ni muhimu katikati usafiri na shughuli za kila siku katika mji wa Malindi hasa sekta ya uchukuzi. Akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi huo, Afisa mkuj katika idara ya barabara na miundomsingi kaunti hiyo Phi..