Back to homeWatch Original
Wanafunzi wa kike huko Siaya watatizika na ukosefu wa sodo
video
July 8, 2025
11 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Ukosefu wa sodo ni mojawapo ya vikwazo vinavyoathiri pakubwa wasichana wanaoishi katika umasikini katika kaunti ya Siaya, idadi yao kubwa ikilazimika kusalia nyumbani punde wanapoanza kupata hedhi. Hata hivyo zaidi ya wanafunzi 1500 kutoka shule mbalimbali za wasichana na za kutw..