Back to home

Jaji Mkuu Martha Koome awataka polisi kuwajibika kwenye maandamano

video
July 8, 2025
about 9 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Jaji mkuu Martha Koome amewataka maafisa wa polisi kutofautisha waandamanaji wa amani na majangili wanaozua vurugu, kuiba na kuharibu mali wanapowakamata waandamanaji na kuwafikisha kortini. Koome ameelezea masikitiko yake kuhusiana na polisi kutumia nguvu kupita kiasi. Haya yana..