Back to homeWatch Original
Mbunge wa Manyatta Gitonga Mukunji afikishwa mahakamani kwa madai ya uchochezi
video
July 8, 2025
about 6 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Mbunge wa Manyatta Gitonga Mukunji amefikishwa mahakamani kwa madai ya uchochezi wa kusababisha vurugu wakati wa maandamano ya saba saba. Mbunge huyo alifikishwa katika mahakama ya kahawa ambapo upande wa mashataka umemhusisha na vitendo vya kigaidi. Aidha washukiwa wengine walio..