Back to homeWatch Original
Wahudumu wa afya waanatishia kusitisha huduma baada ya uvamizi wa hospitali Kitengela
video
July 8, 2025
3w ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Miungano ya afya chini ya Health Union Caucus wanatishia kusitisha huduma zao kote nchini kila mara maandamano yanapotokea, wakisema maisha yao yako hatarini. Hatua hii inajiri baada ya tukio la kusikitisha katika hospitali ya Kitengela sub-county ambapo kundi la vijana walivamia..