Kapenguria: Mwili wa mtoto mmoja wapatikana umetupwa kwenye shamba la mahindi
About this video
Mwili wa mtoto mmoja wapatikana umetupwa kwenye shamba la mahindi eneo la Bendera mjini Kapenguria huku hali ya wasiwasi ikiendelea kushamiri katika eneo hilo kwa ongezeko la visa vya uteka nyara Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as tol..