Back to homeWatch Original
Watoto 465,000 Makueni kuchanjwa dhidi ya magonjwa
video
July 9, 2025
2w ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Watoto elfu 465 kaunti ya Makueni wanatarajiwa kupata chanjo dhidi ya ugonjwa kipindupindu na ukambi baada ya magonjwa hayo kuongezeka katika kaunti ya Makueni. Zoezi la kutoa chanjo hiyo limeongozwa na mke wa gavana wa Makueni Anita Mutula katika shule ya msingi ya Unoa ambapo..