Back to homeWatch Original
Wezi wahangaisha waakulima Perkerra
video
July 9, 2025
3w ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Kilimo cha unyunyiziaji huko Perkerra kimetatizika kufuatia kuibwa kwa vyuma vya mabomba ya maji Wakulima wamelalamika kuwa wizi wa valvu za chuma na mifumo ya kuingiza maji, imesababisha mashamba kufurika huku mengine yakikosa maji kabisa. Hali hii imeleta migogoro kati ya wakul..