Back to home

Mwanafunzi wa chuo cha MKU Ian Mungai, anayedaiwa kupigwa risasi wakati wa maandamano, aombolezwa

video
July 9, 2025
3w ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Huzuni imetanda miongoni mwa familia moja katika mji wa Thika kaunti ya Kiambu baada ya mwana wao ambaye ni mwanafunzi katika chuo kikuu cha Mount Kenya kufariki. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news..