Kenya, Uganda na Tanzania kuzindua cheti maalum cha usafiri kitakacho tumika katika CHAN
About this video
Waziri wa Michezo Salim Mvurya amefichua kuwa mataifa ya Kenya, Uganda na Tanzania wamekamilisha mpango wa kuzindua cheti maalum cha usafiri kitakachotumika katika mashindano yajayo ya CHAN Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by K..