Back to homeWatch Original
Polisi wanachunguza kuteketezwa kwa kituo Itibo kaunti ya Nyamira
video
July 10, 2025
2w ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Maafisa wa polisi mjini Nyamira wameanzisha uchunguzi baada ya wakaazi kuteketeza kituo cha polisi cha Itibo kwa ghadhabu ya kupigwa risasi na kuuawa kwa kijana wa miaka 19. Kijana huyo aliuawa wakati wa maandamano siku ya Jumanne wakati wanafunzi wa chuo cha kiufundi cha Nyamira..