Back to home

Wahudumu wa afya Kisii walia ngoa kuhusu ahadi

video
July 10, 2025
2w ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Zaidi ya wahudumu 200 wa afya ya UHC kutoka Kisii wameelezea wasiwasi wao kufuatia serikali kutoweka mipango ya ajira ya kudumu (PnP) kwenye bajeti mwaka huu, kinyume na ahadi waliopewa na waziri wa Afya Aden Duale..

Wahudumu wa afya Kisii walia ngoa kuhusu ahadi (Video)