Mvutano wa kisheria unaendelea katika mahakama ya kahawa
About this video
Katika kesi ya madai ya ugaidi katika mahakama ya kahawa , mvutano wa kisheria unaendelea kushika kasi huku upande wa mashtaka ukishinikiza John Mukunji mbunge wa eneo bunge la manyatta na washukiwa wengine wawili kuzuiliwa kwa siku 14, wakionya kuwa huenda wakahujumu uchunguzi..