Bikizee abeba mboga za Sh250 shuleni kukamilisha karo ya zaidi ya shilingi laki moja ya mjukuu wake
About this video
Walimu katika Shule ya Upili ya Mseto ya Sigiria, iliyoko Rongo, Kaunti ya Migori, walipigwa na butwaa leo baada ya bikizee wa umri wa miaka 70 kufika langoni mwa shule hiyo akiwa amebeba kikapu kidogo kilichojaa mboga za kienyeji, zenye thamani ya shilingi 250. Subscribe and wa..