Kakan Maiyo kushtakiwa kwa kukosoa serikali atarajiwa kortini Ijumaa
About this video
Maafisa wa polisi wanaendelea kumzuilia mfanyabiashara Godfrey Kakan Maiyo katika kituo cha polisi cha Muthaiga baada ya kukamatwa na maafisa wa DCI jijini Nairobi. Hadi sasa, Maiyo aliyekamatwa kwenye duka lake hajafikishwa mahakamani na hajui mashtaka yanayomkabili. Familia yak..