Back to homeWatch Original
Rais Ruto amesema hatakaa Kimya Maandamano Yakivuruga Amani
video
July 10, 2025
2w ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Rais William Ruto amesisitiza kwamba hatakaa kimya na kushuhudia vifo, ubakaji na uharibifu wa mali wakati wa maandamano. Rais Ruto amesema kuwa Katiba inamtaka kulinda maisha na riziki ya Wakenya. Aidha, Rais ametetea rekodi yake ya ajira, siku moja baada ya kuwataka polisi kuwa..