Kiambu: Mwanamume akatwa mguu baada ya kupigwa risasi wakati wa maandamano ya Saba Saba
About this video
Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 40 kutoka eneo la Thindigua, Kaunti ya Kiambu, amekatwa mguu baada ya kupigwa risasi wakati wa maandamano ya Saba Saba. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates..