Back to homeWatch Original
Tabaita, Kericho: wakazi wataka eneo jipya la utawala
video
July 10, 2025
1mo ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
About this video
Wakazi wa eneo la Tabaita katika tarafa ndogo ya Sigowet/Soin wametoa wito kwa serikali kuharakisha uundwaji wa eneo jipya la utawala pamoja na vitongoji kadhaa ili kuboresha utoaji wa huduma za serikali. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyd..