Kakamega: Wasichana wawili wauguza majeraha makali kichwani baada ya kuvamiwa
About this video
Wasichana wawili ambao ni dada akiwemo mwanafunzi wa kidato cha tatu kutoka kijiji cha Etenje eneo Bunge la Mumias Mashariki Kaunti na kakamega Wanauguza majeraha makali kichwani baada ya mwanaume mmoja kuwashambulia wakienda haja nyumbani kwao usiku. Subscribe and watch NTV Ken..