Back to home

Kuresoi: Wazee wa jamii ya wakalenjin wataka kukomeshwa kwa maandamano ilikuzuia uharibifu wa mali

video
July 10, 2025
1 day ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Wazee wa jamii ya wakalenjin kutoka maeneo ya Kuresoi Kusini wamewataka Gen z kukomesha maandamano ilikuzuia uharibifu wa mali kupita kiasi na kuzuia kurudisha uchumi wa inchi nyuma zaidi. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Ke..