Samburu: Kina mama waacha biashara kuuza pombe haramu na kuingia katika kilimo-biashara
About this video
Katika kaunti ya Samburu, kuna nuru mpya kwa kina mama wa Maralal waliokuwa wakijihusisha na biashara ya kuuza pombe haramu. Kina mama hao sasa wameacha biashara hiyo na kuingia katika kilimo-biashara Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday a..